Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth...
6 Reactions
61 Replies
1K Views
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
8 Reactions
116 Replies
552 Views
Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza aliyekuwa anasoma Shule ya Sekondari Sarungi, Wilayani Rorya amejinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake kwake baada ya kudaiwa kutokea mzozo na kaka yake...
5 Reactions
31 Replies
346 Views
Nimewaita mara tatu...hivi hicho kitamthilia cha Nazi Bubu mlikiokota wapi!!bora kimeisha!
2 Reactions
7 Replies
203 Views
Njoo agiza chochote unachokitaka kutaka Japan au South Africa Tuna agaiza bidhaa mbalimbali kwamuda mrefu kwauaminifu sana.Kupita kwenye platforms zetu mtu yoyote aliko Japan au South Africa...
23 Reactions
482 Replies
72K Views
  • Suggestion
Tanzania tuitakayo baada ya miaka mitatu SERIKALI IWAUNGANISHIE WANANCHI UMEME BURE, WAKATWE KWENYE LUKU, KAYA MASIKINI TASAF IWEKE UTARATIBU WA KUWALIPIA Gharama za kuunganishiwa Umeme ni Kubwa...
9 Reactions
31 Replies
405 Views
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavhoendelea, nashawishika kusema walitaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana. Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege...
6 Reactions
31 Replies
421 Views
Hali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa ifakara kwa 80% upo kwenye maji. Hasara nibkubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Ciment na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa Kuna baadhi ya...
2 Reactions
8 Replies
17 Views
Gari mbili za kampuni ya Dangote zimegongana na watu wawili wanahofiwa kupoteza maisha. Ajali imetokea eneo la Njonjo barabara ya kueleke mikindani
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana Nawatakia Dominica Njema 😄
2 Reactions
25 Replies
93 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,293
Posts
49,569,290
Members
667,846
Latest member
madoree
Back
Top Bottom