Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.
Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba...
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu.
Kuanzia...
Huyu Mwamba aisee amenishangaza.
Ame niprove wrong, sikuwa na mwamini kivile.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Chini ya Dr Hussein Mwinyi mtoto wa Hayati Alihasani Mwinyi uongozi wake...
Habari za muda huu wana jamvi
Naandika uzi huu nikiwa kwenye daladala nikirejea nyumbani kutoka kwenye "mihangaiko" ya Kila siku
Ndani ya daladala nmekaa karibu na wakina mama wawili...
Ukiangalia mitume wale 12,
Yesu hakuna aliyeoa ndio maana petro alimwambia Yesu wajenge vibanda ili waishi pale Mlimani Yesu alipogeuka sura.
Yesu mwenyewe hakuwa na mke japo wanamfanasha na...
Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.
CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .
Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa...
Kwamba Mke wa Madeleka anadai kaoteshwa kwamba kina Bashe,Makonda na Makamba Jr wanatakiwa kufurushwa Uwaziri au wafurushwe na Rais Kwa sababu Wana malengo ovu ya Kisiasa Kwa Nchi na Rais...
Leo kuna dogo kaja ana lalamika yani alichokisomea anaambiwa alipofika wao wanaelewa kuliko yeye aliyesoma sababu wao wajasomea na hawana haja naye huku wakisema wachuo ni theory sio practice...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.