Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika ulimwengu wa Teknolojia biashara zimerahisishwa sana,unachohitaji ni taarifa sahihi kwa wakati sahihi. Kupitia KV dropshipping tunakusaidia kupata taarifa sahihi za biashara yako na...
0 Reactions
18 Replies
240 Views
Nimepita bar fulani ina mgahawa, nimeulisa nyama choma wakasema kipande 6,000, nikasema anifungie. Sasa nyama imechomwa, imefungwa kwenye kile kifuko cha karatasi cha khaki, ndani kuna foil...
6 Reactions
43 Replies
337 Views
Wakuu nina degree ya Accounting and Finance nipo Arusha jinsia ni mwanaume kukaa home kunachosha. Kama kuna mtu ana sehemu anataka hata mtu wa kumbebea mafile Arusha mimi nipo.
5 Reactions
28 Replies
272 Views
Moja ya hoteli ambayo ni alama katika mji kasoro bahari wa Morogoro ambayo ilianza kazi tangu mwaka 2007 imeingizwa sokoni. Wenye nia ya kununua wanatakiwa kuwasilisha pendekezo lao kabla ya May...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Bila shaka umewahi kuwasikia wataalamu wa afya wakisisitiza umuhimu wa wenza kufanya vipimo mbalimbali kabla ya kuamua kuwa pamoja kwa ajili ya kutengeneza familia (kuzaa). Moja ya vipimo...
7 Reactions
11 Replies
155 Views
Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi. Umri wangu miaka 26 Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4. Natafuta rafiki wa kike, Comment vizuri nikufate PM Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik...
2 Reactions
1 Replies
2 Views
Hali sio hali nchini hususani kwenye uchumi wa nchi na mauzo na manunuzi. Gharama ya bidhaa iko juu sana, vyakula na bidhaa nyingine iko juu kupindukia. Ukienda kila kona ya nchi hali ni mbaya...
8 Reactions
25 Replies
442 Views
Nimeajiriwa ngazi ya chini serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa. mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo. Nina mawazo kuacha kazi...
14 Reactions
74 Replies
1K Views
Salam, Shalom!! Ni Kweli, Yesu alituagiza kuwa "Tusiache kukusanyika" wapi alisema tukusanyike Jumapili kama siku kuu ya IBADA badala ya Jumamosi iliyovyokuwa awali? Ibada na kutafakari neno...
9 Reactions
170 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,153
Posts
49,566,403
Members
667,814
Latest member
mambatz
Back
Top Bottom