Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwenye hiyo video inaonyesha ngamia kafungwa kamba miguu ya mbele na kushindwa kustahimili kusimama. Lakini ukimsikiliza mja anasema kasomewa Quran hadi kakubali kuchinjwa, je inamaana hajaona...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari wakuu. Nahitaji mtu mwenye blog yenye Adsense iwe kwenye wordpress ya kununua. Nahitaji kwa Ajili ya kuendeshea blog. Napatikana 0692 76 33 06 Shukrani
0 Reactions
1 Replies
7 Views
Habari wakuu. Nahitaji mtu mwenye Google Developer Console niweze kununua. Nahitaji kwa Ajili ya kuendeshea blog. Napatikana 0692 76 33 06
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
48 Reactions
305 Replies
5K Views
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi. Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua? Kufuatilia hali...
5 Reactions
282 Replies
14K Views
Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
24 Reactions
318 Replies
2K Views
Kitendo cha mkuu wa nchi kukimbia sherehe za mei mosi eti kwa sababu kikokotoo NI mwiba kwa wafanyakazi ajue kuwa hapo hajatibu chochote / ccm katika zama hizi isiamini kushinda uchaguzi mkuu kwa...
6 Reactions
31 Replies
507 Views
Kwa mujibu wa data kutoka Tume ya Madini na Wizara ya Madini zilizowasilishwa Bungeni 2024 zimeonesha kwamba Soko la Madini ya Dhahabu la Chunya-Mbeya limechangia mabilioni kwenye Mapato ya Nchi...
0 Reactions
14 Replies
245 Views
Jina lake ni Hippocrates. Alizaliwa mwaka 460 AD Ugiriki. Kabla ya huyu mwamba matibabu kwa wanadamu ilikuwa changamoto. Ilikuwa ukiumwa, unatibiwa na waganga wa kienyeji bila utaratibu mzuri...
1 Reactions
3 Replies
241 Views
Kwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers...
45 Reactions
978 Replies
63K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,033
Posts
49,562,784
Members
667,754
Latest member
Ombin
Back
Top Bottom