Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

kwenye maisha yako usijekukutana na mtu ambae hana cha kupoteza... Hawa watu wana matatizo mkubwa, mfano wa watu wasiokuwa na cha kupoteza...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Perfectionism na kuwa "media shy" ni miongoni mwa vizuizi ambavyo ningali ninakabiliana nazo. Naelezea: PERFECTIONISM Najiona bado sijakidhi vigezo vya kiunadishi. Japo lengo langu kuu si...
3 Reactions
3 Replies
39 Views
Sijawai kumfatilia sana waziri wa ardhi jerry silaa ila nilicho mkubari baada ya kuona jinsi anavochambua sheria za ardhi na jinsi ya kutatua migogoro kisomi na kijamii zaidi. Kama viongozi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Habari Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi. Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
20 Reactions
244 Replies
5K Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
948 Replies
23K Views
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo 2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi 3. Kuna...
9 Reactions
27 Replies
5K Views
Leo baada ya kuona video ikionesha madhara ya kimbunga Hidaya ndio nikajiuliza hivi kisiwa cha Mafia kwa shughuli za Serikali kila siku zinazofanyiwa kikazi upande wa Mafia mbona kama ni kimya...
1 Reactions
5 Replies
64 Views
Mziki ni ibada. Asilimia 99 kinachofanyika mbinguni ni mziki na kuimba. Asilimia kubwa ya kinachofanyika kwenye ikulu ya ibirisi ni nyimbo na miziki. Kila mziki unaroho nyuma yake. Wanaweza kuwa...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
La Kwangu GENTAMYCINE nitaliweka mwishoni kabisa mwa Kurasa ya mwisho zitakazotokana na huu Uzi wangu hapa Ok?
4 Reactions
33 Replies
337 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,096
Posts
49,564,490
Members
667,792
Latest member
Nimechoka Sana
Back
Top Bottom