Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

kwenye maisha yako usijekukutana na mtu ambae hana cha kupoteza... Hawa watu wana matatizo mkubwa, mfano wa watu wasiokuwa na cha kupoteza...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Kipindi Cha Nyuma Miaka Ya 2000- 2012 Katikati Hapo Mashuleni Wasichana Walikumbwa Sana Na Chekelea, Hasa Bording School Walimu Walichokuwa Wanafanya Ni Kutenga Siku Za Outing Day Kila Mwisho Wa...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Wapendwa poleni sana na majukumu ya kikazi. Mimi ni Mjasiriamali ambaye nimejikita haswa kwenye Biashara ya Mazao. Kwa sasa natafuta Soko la Alozera, kama unahitaji takuuzia kwa Tsh. 5000 bei ya...
1 Reactions
5 Replies
147 Views
Wakuu habari. Kwanini Huwa Kuna majuto Baada ya usaliti katika ndoa pindi ndoa inapovunijika, hii ni kwa mwanamke au mwanaume kuwa chanzo. Teña hatari zaidi kwa mwanamke kudanyanywa na mchepuko...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi. Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
20 Reactions
245 Replies
5K Views
Nimetembea na wake za watu sana, kwa uozo nilioushuhudia niliapa kabisaa sintakuja kuoa ila leo nimetengua kauli yangu, jamani mapenzi matamu asikwambie mtu, duh! Nimempata binti, mtoto mdogo...
11 Reactions
104 Replies
977 Views
Perfectionism na kuwa "media shy" ni miongoni mwa vizuizi ambavyo ningali ninakabiliana nazo. Naelezea: PERFECTIONISM Najiona bado sijakidhi vigezo vya kiunadishi. Japo lengo langu kuu si...
3 Reactions
3 Replies
39 Views
Sijawai kumfatilia sana waziri wa ardhi jerry silaa ila nilicho mkubari baada ya kuona jinsi anavochambua sheria za ardhi na jinsi ya kutatua migogoro kisomi na kijamii zaidi. Kama viongozi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
948 Replies
23K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,096
Posts
49,564,490
Members
667,792
Latest member
Nimechoka Sana
Back
Top Bottom