Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

La Kwangu GENTAMYCINE nitaliweka mwishoni kabisa mwa Kurasa ya mwisho zitakazotokana na huu Uzi wangu hapa Ok?
4 Reactions
41 Replies
489 Views
wakuu hali siyo powa, hivi ni kweli humu hakuna mtu anamhitaji mfanyakazi wa kumpa 3000 kwa siku nina Degree ya Accounting and Finance nipo Arusha ila ikiwa hiyo kazi ya 3000 ipo Arusha itapendeza...
14 Reactions
39 Replies
1K Views
Nimepita bar fulani ina mgahawa, nimeulisa nyama choma wakasema kipande 6,000, nikasema anifungie. Sasa nyama imechomwa, imefungwa kwenye kile kifuko cha karatasi cha khaki, ndani kuna foil...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Mechi 8 za Simba sc za kufa na kupona ligi kuu NBCPL
1 Reactions
4 Replies
321 Views
Balozi Dkt. Diodorus Buberwa Kamala (26 November 1968 - 12 Feb 2024) -- Balozi Mstaafu na Waziri wa zamani wa Afrika Mashariki, Dkt. Deodorus Buberwa Kamala amefariki dunia akiwa anapatiwa...
13 Reactions
148 Replies
13K Views
Nimekuta mahali kitabu hiki (pichani) kinauzwa nikakumbuka Title yake inafanana na moja ya kitabu cha mwenzetu Yeriko Nyerere. Nani kamuigilizia mwenzake? Kisheria imekaaje?
1 Reactions
16 Replies
207 Views
WAKUU HESHIMA SANA KWENU: Nimekua msomaji humu jf miaka takribani sita ila now ni mwanachama haiiii..humu ni vile sijasomeka persnlty yangu kwa kuwa sikua rasmi ila character za members na...
2 Reactions
8 Replies
91 Views
Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
44 Reactions
466 Replies
5K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Habari wana jf! Naomba msaada kwa anayefahamu taratibu za kuhama kutoka halmashauri kwenda mashirika ya umma. Mimi nilikuwa nafanya kazi katika shirika la TANESCO kwa miaka mitano nikiwa...
2 Reactions
26 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,148
Posts
49,566,040
Members
667,814
Latest member
mambatz
Back
Top Bottom