Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama ni mfatiliaji mzuri wa hip hop, nadhani Utakuwa umesha Iona hii. Ila Kama bado, story Ina anzia Mwaka Jana ambapo drake na j Cole wali toa ngoma Ina itwa first person shooter. Humo ndani j...
5 Reactions
79 Replies
2K Views
Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap. NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani aidha miezi miwili, mitatu mpaka...
78 Reactions
2K Replies
136K Views
Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo. Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie...
23 Reactions
92 Replies
3K Views
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili. Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba...
19 Reactions
116 Replies
4K Views
Habari za muda huu wana jamvi Naandika uzi huu nikiwa kwenye daladala nikirejea nyumbani kutoka kwenye "mihangaiko" ya Kila siku Ndani ya daladala nmekaa karibu na wakina mama wawili...
17 Reactions
51 Replies
1K Views
Siikatai kuwa kuna Askari Polisi wasio waadilifu! Karibia kila taaluma kuna watu wasiozingatia maadili ya kazi/taaluma zao Kule nchini Marekani, Polisi mmoja alibaini kuwa leseni ya udereva wa...
6 Reactions
26 Replies
273 Views
Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
24 Reactions
320 Replies
3K Views
Habari za muda huu wana JF, Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio...
87 Reactions
992 Replies
90K Views
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu. Kuanzia...
36 Reactions
179 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,033
Posts
49,562,784
Members
667,754
Latest member
Ombin
Back
Top Bottom