Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Moja ya hoteli ambayo ni alama katika mji kasoro bahari wa Morogoro ambayo ilianza kazi tangu mwaka 2007 imeingizwa sokoni. Wenye nia ya kununua wanatakiwa kuwasilisha pendekezo lao kabla ya May...
3 Reactions
12 Replies
121 Views
NATAFUTA MKE UWE UNAISHI DAR UWE KABILA LOLOTE KASOLO MUHAYA UWE MKRISTO KAMA SIO KUAJILIWA UWE UME JIAJILI UMRI 25_32
6 Reactions
92 Replies
698 Views
Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na...
26 Reactions
94 Replies
3K Views
Wakuu nina degree ya Accounting and Finance nipo Arusha jinsia ni mwanaume kukaa home kunachosha. Kama kuna mtu ana sehemu anataka hata mtu wa kumbebea mafile Arusha mimi nipo.
6 Reactions
30 Replies
334 Views
Tuwekane sawa #Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu. #Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
29 Reactions
188 Replies
7K Views
Habari zenu wana jamvi, kila mmoja wenu anajua kuwa unapoosha kichwaama uso kwa sabuni, mapovu, huwasha machoni, je kwa zama hizi bado tuna ubunifu 'dhaifu' kiasi hicho? juzi juzi nimeugua...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
MAKTABA IMETEMBELEWA NA MWALIMU WA HISTORIA YA TANZANIA Maktaba imepata bahati kubwa sana na heshima ya pekee kwa kutembelewa na mwalimu anaesomesha somo la historia kiwango cha shule za...
0 Reactions
6 Replies
173 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi. Umri wangu miaka 26 Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4. Natafuta rafiki wa kike, Comment vizuri nikufate PM Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik...
2 Reactions
2 Replies
28 Views
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
8 Reactions
218 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,154
Posts
49,566,450
Members
667,814
Latest member
mambatz
Back
Top Bottom