Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakaka njoeni hapa usishushe nguvu ya mwanamke kwenye kulipiza kisasi Cha mapenzi.....huwezi kujua atafanya nini. Kuna mkaka mmoja alikuwa ameoa shida alikuwa anasaliti sana kwenye ndoa yake...
1 Reactions
16 Replies
92 Views
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
3 Reactions
91 Replies
1K Views
Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli. Sitii langu hapa kwa sasa, jionee mwenyewe: Chanzo: https://youtu.be/_rImiIvDHnI?si=jVvGaHv0PVX-7CeH
0 Reactions
10 Replies
715 Views
Haya mambo unaweza ukalia. Nimepata emergency natakiwa niwasiliane na watoa huduma wa CRDB. Aisee, wameniwekea wimbo wa Swaiba zaidi ya nusu saa. Mara ya kwanza nikajua wamezidiwa na wateja ila...
2 Reactions
5 Replies
61 Views
Mimi sio shabiki wa KATAA NDOA ila kwa hili wapo sahihi OKOA kibunda
12 Reactions
26 Replies
402 Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
26 Reactions
314 Replies
6K Views
Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi. Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM. -Wote ni wazalendo -...
5 Reactions
49 Replies
805 Views
Nimeshawishika kushiriki maarifa haya baada ya kuwepo kwa taarifa za matumizi na uhifadhi mbaya wa silaha hasa kwa raia. Kila mtu Tanzania anayo haki ya kumiliki silaha kwa matumizi binafsi kama...
0 Reactions
5 Replies
112 Views
Kwenye hiyo video inaonyesha ngamia kafungwa kamba miguu ya mbele na kushindwa kustahimili kusimama. Lakini ukimsikiliza mja anasema kasomewa Quran hadi kakubali kuchinjwa, je inamaana hajaona...
1 Reactions
16 Replies
153 Views
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee. Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu...
12 Reactions
84 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,044
Posts
49,563,059
Members
667,755
Latest member
Ombin
Back
Top Bottom