Huu msemo wenu wa "tafuteni hela wanaume ili mmiliki pisi kali" hua nauona ni msemo wa kijinga tu, binafsi naipambania pesa kwaajili ya maisha yangu mimi na si ya malaya, mnasujudu ngono sana...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Nafanya kautafiti kadogo kutambua Uzalendo Wakati wa Vita na Uzalendo Wakati wa Anasa UPI ni Uzalendo sahihi mbele ya macho ya Mungu wa mbinguni
Kwa mfano 1978/79 watu waliwaacha Wapendwa wao na...
Ndio tittle ya uzi huu...
Sote tunajua matokeo ya mabadiliko ya sayansi na teknolojia kupelekea vijana wengi kutumia fursa hio vizuri wengine wanatumia vibaya.
kuna watu wanatumia teknolojia...
Kuna sababu nyingi kwa nini msichana anaweza kupenda kujipiga picha na kuweka kwenye mitandao baada ya kufikisha miaka 27 bila kuolewa.
Moja ya sababu inaweza kuwa ni
😍njia ya kujisikia vizuri...
Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.
Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba...
Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki.
Huu ni mwaka wa kumi na tano ndani ya jamii forum......(si mchezo)..
Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana.
Na wale tunaopishana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.