Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini?? Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana...
1 Reactions
59 Replies
656 Views
Hakika wenye AKILI KUBWA ndio maana tunasema bila KATIBA MPYA itakayounda UPYA Vyombo vyote vinavyosimamamia UCHAGUZI Nchini. VYAMA Kuendelea kushiriki CHAGUZI chini ya KATIBA hii inayompa...
4 Reactions
5 Replies
116 Views
Wadau Habari zenu, Naomba kufahamu zaidi kuhusu haya manukato (mafuta) yanayoitwa Bint Sudan ambayo watu tofauti huyatumia kama manukato tu ya kawaida na wengine tiba ya mambo tofauti kama kunuka...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
  • Suggestion
[GASTON JORDAN LIVIGHA] [gaejombishi@gmail.com] UTANGULIZI Naandika sio kwa dhumuni la kushinda pesa la hasha! lakini naandika nikiwa kama mmoja wa vijana walioathirika na janga la ukosefu wa...
0 Reactions
1 Replies
17 Views
Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
14 Reactions
222 Replies
1K Views
  • Suggestion
UTANGULIZI Kumeendelea kutokea matukio mengi ya uhalifu nchini Tanzania yenye viashiria vya kuwepo tatizo kubwa la afya ya akili miongoni mwa wananchi. Miongoni mwa matukio hayo ni visa vya mauaji...
2 Reactions
3 Replies
22 Views
Bado nipo Nyanda za Juu Kusini.Nimemaliza Mbeya,Rukwa na Katavi na Leo Niko Songwe. Leo naendelea na kuwaletea miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Dr.Samia Mkoa wa...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kuna sababu nyingi kwa nini msichana anaweza kupenda kujipiga picha na kuweka kwenye mitandao baada ya kufikisha miaka 27 bila kuolewa. Moja ya sababu inaweza kuwa ni 😍njia ya kujisikia vizuri...
4 Reactions
23 Replies
428 Views
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu. Kuanzia...
27 Reactions
157 Replies
3K Views
Taarifa iliyotolewa na Mabere Makubi kutoka Mwanza, inaeleza kwamba, Mtukufu Kagulumujuli ambaye ni Mkurugenzi wa Jiji hilo na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kutokea Wilaya ya Kinondoni, amefungua...
11 Reactions
33 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,005
Posts
49,561,995
Members
667,717
Latest member
AISHAT RASHID
Back
Top Bottom