ukata wa fedha, sera na mikakati mibovu isiyo na tija ya kuwaunganisha wanachama wao imekua ni chanzo cha kuzorota kwa hamasa katika harakati zao mitandaoni na mtaani.
maandamano yamekosa mvuto...
Pafukapo moshi ujue kuna moto,
Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti.
Kikao...
Kumekuwepo maswali ya watu wengi wakitaka kujua ASILI ya JINA la TANGANYIKA.
Ili kuweza kuhakikisha mjadala unakuwa endelevu na msomaji anapata majibu sahihi, tumeonelea ni vema kuweka mjadala...
TUNA CHANGAMOTO KUBWA SANA YA MABINT WANAJIUZA KIJANJA JANJA
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
Baada ya kupitia changamoto za kutengana na aliyekuwa mke wangu, nilianza heka heka za kutafuta...
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Ni changamoto gani sugu mnakutano nazo kuhusiana na swali zima la makazi?
Je, mnakutana na ugumu wa kupata vyumba,nyumba,viwansehemu za kuishi n.k
Niambie hapa chini kwenye comment ipi ni...
Bila shaka umewahi kuwasikia wataalamu wa afya wakisisitiza umuhimu wa wenza kufanya vipimo mbalimbali kabla ya kuamua kuwa pamoja kwa ajili ya kutengeneza familia (kuzaa).
Moja ya vipimo...
Hello!
Mtu akirogwa anajijua kabisa lakini akirogwa vibaya sana hawezi kujijua. Anabaki tu kama kipepeo hajui afanye nini kutwa mzima.
Hawezi kuwa na mipango thabiti, leo atapanga hili, kesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.