Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu wakuu, natumaini mko poa. Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi? Kama linafanya kazi stakeholder na...
7 Reactions
71 Replies
1K Views
Hebu tumsikilize hapo akiwa Zanzibar Mheshimiwa Lissu, ni dhahiri anaipenda Zanzibar ijitambue na kupata uhuru wake wa kweli badala ya kukubali kutawaliwa na Tanganyika (Dodoma) na kuveshwa...
0 Reactions
3 Replies
43 Views
Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi. Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa Mungu. Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk. Ni ingie kwenye point. Uwepo wa mungu una dhihirika...
39 Reactions
697 Replies
14K Views
Mjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015...
2 Reactions
12 Replies
173 Views
Hii mitindo ya wasanii kujifanya wana pesa sana, halafu wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango, inakera sana.
2 Reactions
8 Replies
142 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu...
11 Reactions
197 Replies
6K Views
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU). BY ISSAI SINGANO . (Singano jr). DIBAJI Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
2 Reactions
158 Replies
37K Views
Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa; "Nyie wapumbavu lazima muongeleswe kipumbavu, machadema nyie ni mapumbavu kabisa kabisa bora vyama vingine vijipange vitaitwa upinzani sio...
16 Reactions
134 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,508
Posts
49,577,252
Members
668,009
Latest member
Kasawala Mussa
Back
Top Bottom