Katika CCM ya sasa watu pekee ambao naweza kusema wana maarifa na uwezo wa kuweza kujibu hoja nzito za wapinzani na Watanzania ni Makamu Mwenyekiti wa chama Ndug. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu...
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500,
Wali ule unaouzwa 2000 maeneo mengine hapa...
Habari zenu wakuu, natumaini mko poa.
Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi?
Kama linafanya kazi stakeholder na...
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka.
Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Akijibu swali Bungeni, leo Mei 6, 2024, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Mwanaidi Khamis amsema Sheria ya Tanzania ipo wazi kwa wanaokutwa na hatia ya...
Niseme ukweli hawa ndio mawaziri wanaopaswa kuwa ofisini. Sio wale wa kuhudhuria mikutano na upigaji.
Natamani kuona hata nafasi za uwaziri ziwe ni through competitive interview, cream’Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.