Mawasiliano kati ya Dar na kusini mwa nchi yamekatika baada ya daraja lililopo Somanga kusombwa na maji.
Ukiachana na daraja hilo, zaidi ya madaraja manne wilayani Kilwa, kati ya Lindi na Dar es...
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
Majibu na Maombi ya Ukaazi wa Kudumu katika Nchi ya Marekani: US Green Card | Diversity Visa Lottery | United States of America. 2024 na kuendelea!
Leo 4th May 2024 saa moja usiku, kwa saa za...
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
Binafsi nilioa nikiwa na 28 mke wangu muda huo akiwa na 18, Kwa sasa naenda 36 mwenzangu yupo 26
kumekuwa na pattern kubwa ya vijana kutafutana waoane kwa kigezo cha kukaribiana ama kulingana...
Wanaotumia honda Fit, naomba mniulize chochote tushirikishane uzoefu. Watu wengi wamekuwa wakiharibiwa magari yao kwa sababu tu ya kukosa uzoefu Kuhusu Honda Fit
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.