Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili, Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote Sijui kuna agenda...
12 Reactions
98 Replies
2K Views
Nimekuwa Nafuatilia sana Mijadala juu ya UPATIKANAJI wa KATIBA MPYA NCHINI.Miongoni mwa Watu ambao nilitamani kuwasikia WAKIIPAMBANIA KATIBA MPYA ni pamoja na Muanzilishi wa MCHAKATO ule Mh sana...
1 Reactions
7 Replies
75 Views
Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili. . Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
6 Reactions
107 Replies
1K Views
Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na...
5 Reactions
79 Replies
1K Views
Hii ilikuwa kitu ya kawaida sana enzi za wazee wetu. Nini kimebadilika wakuu? Au binadam wa leo ni wa mbegu tofauti? Maana huyo mtoto mmoja tu lazima awatoe kamasi na msipokaa sawa utasikia...
6 Reactions
22 Replies
274 Views
Wakuu,, Nataka nikatie Bima familia lakini sijaajiliwa. Gharama zikoje? Shi ngap kuchangia kila mwezi
0 Reactions
1 Replies
22 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,528
Posts
49,577,756
Members
668,028
Latest member
otienolucas
Back
Top Bottom