Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nije kwenye Mada yangu moja kwa moja. Naiomba TFF utoe ufafanuzi wa Sheria juu ya mchezaji ambaye hajakamilisha vigezo vya usajili wake je anaruhusiwa kucheza? Na kama haruhusiwi mpaka akamilishe...
0 Reactions
5 Replies
73 Views
Kijana ambaye anauwezo wa kuongea kama mama Samia akionesha kipaji chake katoka moja ya kikao cha vijana kilichokutanishwa na rebby foundation mnamo aprili.
0 Reactions
1 Replies
4 Views
Huyu amejiita,'Bertrand Bisimwa',kiongozi wa M23,na makamu kiongozi wa AFC ambayo inaongozwa na Cornell Nanga,ambaye ni Political Coordinator na Sultan Makenga ambaye ndie kiomgozi mkuu wa Jeshi...
0 Reactions
6 Replies
361 Views
Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi. Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa Mungu. Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk. Ni ingie kwenye point. Uwepo wa mungu una dhihirika...
38 Reactions
691 Replies
14K Views
Wanakumbi. MAMLAKA ZA ISRAEL WAVAMIA SHEREHE ZA KANISA HUKO YERUSALEMU Matukio ya machafuko leo wakati wa sherehe za kila mwaka za Moto Mtakatifu. Mamlaka iliwakamata maafisa wa usalama wa...
3 Reactions
55 Replies
1K Views
Habari. Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite, Mshana Jr n.k. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo; 1. Ninafanya kazi...
84 Reactions
285 Replies
21K Views
Mwaka huu uwanja wa Benjamin Mkapa unatimiza miaka 17 toka kuzinduliwa kwake. Katika kipindi hicho chote uwanja umetumika kwa shughuli nyingi za soka, serikali na dini. Moja ya eneo muhimu la...
3 Reactions
5 Replies
176 Views
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi. Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua? Kufuatilia hali...
6 Reactions
342 Replies
19K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views

FORUM STATS

Threads
1,851,493
Posts
49,576,790
Members
668,010
Latest member
Kasawala Mussa
Back
Top Bottom