Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
5 Reactions
83 Replies
1K Views
KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la mh Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa Zitto Kabwe amekubaliana na...
0 Reactions
27 Replies
232 Views
Habari wakubwa? Nina swali kwenye kunufaika na mafao, mchangiaji anapofariki mwenza wake anaendelea kupokea mafao kila mwisho wa mwezi, anapofariki na mwenza utaratibu wa yale mafao unakuaje ama...
0 Reactions
8 Replies
88 Views
Nimekuwa Nafuatilia sana Mijadala juu ya UPATIKANAJI wa KATIBA MPYA NCHINI.Miongoni mwa Watu ambao nilitamani kuwasikia WAKIIPAMBANIA KATIBA MPYA ni pamoja na Muanzilishi wa MCHAKATO ule Mh sana...
1 Reactions
4 Replies
50 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
63 Reactions
336 Replies
10K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Wakuu, naamini wengi Gari inakuvutia kwanza muonekano, then ndio unaanza kufuatilia kujua engine, fuel consumption, spare etc hadi unaamua kuinunua. Sasa kuna gari apa naona kabisa zilikua...
2 Reactions
2 Replies
3 Views
Ujio wa 6G tutegemee nini hasa huku Africa, au tuendelee na matumizi yaleyale kama ya 4G?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza. Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira. Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
24 Reactions
351 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,521
Posts
49,577,607
Members
668,027
Latest member
otienolucas
Back
Top Bottom