Simba watamsajili djuma Shabani kama mbadala wa kapombe
Baada ya kuachana na klabu ya Yanga msimu uliopita Na kutua Azam FC, beki wa kulia raia wa Congo DR Djuma Shabani anategemea kujiunga na...
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
daaah wakuu kuna mtu kanifuata inbox kaniambia ni HR wa kampuni mpya ya kutengeneza juice ipo chalinze akaniambia nimtumie vyeti nikamtumia, akaniambia kwenye vyeti vyangu kuna sehemu ambapo...
Mwanamke ambaye tangu utotoni ameishi bila kumuona baba mzazi au hana maelewano mazuri na baba yake mzazi huonyesha tabia zifuatazo ukubwani
1.Kung'ang'ania mahusiano yenye manyanyaso, vipigo...
Kwenye maisha ukilazimisha fani ambayo sio yako lazima upate tabu sana. Ni wachache sana waliowahi kulazimisha na wakatoboa. Kwa mfano kuna mtindo wa kijana akiwa kazaliwa mrefu basi inaaminika...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Vita ya urais kati ya Lissu na Mbowe yaipasua CHADEMA.
Mgogoro mkubwa wa madaraka waibuka kuwania ugombea urais 2025
Lissu akianika chama chake hadharani, asema CHADEMA imekithiri rushwa...
Huyu amejiita,'Bertrand Bisimwa',kiongozi wa M23,na makamu kiongozi wa AFC ambayo inaongozwa na Cornell Nanga,ambaye ni Political Coordinator na Sultan Makenga ambaye ndie kiomgozi mkuu wa Jeshi...
Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.