Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mi binafsi ule wimbo wa Diamond uitwao Baikoko nikiuweka kabla sijaanza shughuli ni Kama vile unaniamshia mzuka na kunifanya niendelee na game kwa muda mrefu. Vp nyie wenzangu ni song gan...
4 Reactions
19 Replies
290 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana amezungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika Dodoma akiangazia masuala mbalimbali ikiwemo hoja mbalimbali zilizoshika kasi hivi karibuni...
3 Reactions
14 Replies
452 Views
Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na...
3 Reactions
63 Replies
1K Views
Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina...
17 Reactions
97 Replies
2K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
Dah eti "kila mtu ana mshahara wake tusipelekeshane" ujinga sana huu wakuu. Sina mengi.
20 Reactions
72 Replies
1K Views
Binafsi nilioa nikiwa na 28 mke wangu muda huo akiwa na 18, Kwa sasa naenda 36 mwenzangu yupo 26 kumekuwa na pattern kubwa ya vijana kutafutana waoane kwa kigezo cha kukaribiana ama kulingana...
10 Reactions
36 Replies
867 Views
Wakuu habari za jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
7 Reactions
63 Replies
903 Views
Kwakweli huyu binti alinivuruga sana, alikula pesa zangu nyingi sana, alitembea na kila mtu mtaani, sasa ameyatimba. Mpaka wazungu wamemchoka wameamua kutoa jina lake kwa kimbunga. Mahidaya wote...
2 Reactions
14 Replies
265 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,485
Posts
49,576,497
Members
667,997
Latest member
SanimG
Back
Top Bottom