Utangulizi
Nchini Tanzania, tumekuwa na nyumba nyingi sana za kupokea wageni; nyumba za kitalii, nyumba za kawaida na hata nyumba za asili kwa ajili ya kuwapa huduma mbalimbali wageni wetu mara tu...
Kwamaelezo ya Tundu Antipasi Lisu aliyoyatoa kwenye mikutano yake ya hivi kalibuni niwazi kua Tanganyika iliuhitaji zaidi muungano kuliko Zanzibar, ndiomana tukawa tayali kuingia hata hasara ili...
Nimeajiriwa ngazi ya chini serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa.
mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo.
Nina mawazo kuacha kazi...
Sipendi sana kuingia kwenye hizi online Tv sababu nyingi zina watangazaji njaa na taaluma zao.
Tuje kwenye mada Dr sulle huyu anaojiwa na kudai Quruan ndio imeleta kila kitu ambayo sehemu kubwa...
Hizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao.
Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi...
Faida ya hizi Radiocalls :
1.Hakuna haja kuwekeza kwenye Towers /Minara, Antennas,Base stations, Repeaters. Hivyo Initial investments ni Zero.
2.Hakuna limitation ya umbali /Coverage sababu...
Mziki ni ibada. Asilimia 99 kinachofanyika mbinguni ni mziki na kuimba. Asilimia kubwa ya kinachofanyika kwenye ikulu ya ibirisi ni nyimbo na miziki.
Kila mziki unaroho nyuma yake. Wanaweza kuwa...
Hii ilikuwa kitu ya kawaida sana enzi za wazee wetu.
Nini kimebadilika wakuu?
Au binadam wa leo ni wa mbegu tofauti?
Maana huyo mtoto mmoja tu lazima awatoe kamasi na msipokaa sawa utasikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.