"University of Southern California Muslim students are praying Jumma (Friday prayer) and non-muslim students made a wall, surrounding them for their safety. How beautiful Scene!"
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hii ilikuwa kitu ya kawaida sana enzi za wazee wetu.
Nini kimebadilika wakuu?
Au binadam wa leo ni wa mbegu tofauti?
Maana huyo mtoto mmoja tu lazima awatoe kamasi na msipokaa sawa utasikia...
Source: Kitini cha sheria
UTANGULIZI
Hapo nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu utu wa Watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na...
Mjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi
Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015...
Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina...
Mwaka huu kweli tuanzeni kutubu na kumwamini Mungu yanaoendelea mitandaoni na duniani ni wazi kiwango cha watu kuchanganyikiwa na kufanya mambo ya ajabu kimeongezeka. Israeli anaua vile watoto wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.