BWANA INNO ALIVYOKATAA BILIONI 5 ZA HAYATIKwenye miaka ya 2018, alitokea mfanyabiashara mmoja alimfuata BWANA INNO ofisini pale Wizara ya Biashara, na alifika pale akaanza kumshawishi ili...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hii ilikuwa kitu ya kawaida sana enzi za wazee wetu.
Nini kimebadilika wakuu?
Au binadam wa leo ni wa mbegu tofauti?
Maana huyo mtoto mmoja tu lazima awatoe kamasi na msipokaa sawa utasikia...
Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent
Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu...
Hi mimi ni dada, natafuta marafiki wa ku chat nao siishi TZ na kuna muda na tu unatamani tu kupata wa nyumbani kuongea nae na ku exchange mawazo na uzoefu.
Any age , and gender karibuni. Sina...
Hii maana yake ni kwamba, Kila jambo litakaloanzishwa na Chadema ndilo litakalojadiliwa, Chama kimekuwa na nguvu ya Ushawishi ya kutisha kwa sasa.
Huu ndio muda wa kusukuma mbele Ajenda za Katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.