Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hi mimi ni dada, natafuta marafiki wa ku chat nao siishi TZ na kuna muda na tu unatamani tu kupata wa nyumbani kuongea nae na ku exchange mawazo na uzoefu. Any age , and gender karibuni. Sina...
0 Reactions
7 Replies
8 Views
Kwa Taarifa nilizonazo ni kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anapanga kufafanua na kupangua Upotoshaji wa Mzee Kinana, huu alioutoa leo kwa Waandishi wa Habari. Hatuna haja ya...
6 Reactions
26 Replies
895 Views
Ni Joe Kusaga tena… Waswahili husema mwenye nacho huongezwa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezwa. Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikita zaidi kwenye tasnia ya...
21 Reactions
128 Replies
3K Views
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
3 Reactions
44 Replies
520 Views
Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa Msiseme sikuwaambia Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga. Nilipata kijisenti hapa...
3 Reactions
17 Replies
190 Views
Watu wa dini, wasioamini Mungu, freemasons kupitia charity zao, wote wanaunganishwa katika jambo moja la kutoa msaada kwa watu wenye shida. Kutoa kwa kusukumwa na huruma kwa mwanadamu mwenzako ni...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
24 Reactions
285 Replies
16K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana amezungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika Dodoma akiangazia masuala mbalimbali ikiwemo hoja mbalimbali zilizoshika kasi hivi karibuni...
7 Reactions
21 Replies
709 Views
Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina...
17 Reactions
101 Replies
2K Views
Nauliza krefu cha herufi G kwenye jina la marehemu Gadner G Habash na je hayo ndio majina yake halisi?
1 Reactions
15 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,487
Posts
49,576,638
Members
667,999
Latest member
SanimG
Back
Top Bottom