Nije kwenye Mada yangu moja kwa moja. Naiomba TFF utoe ufafanuzi wa Sheria juu ya mchezaji ambaye hajakamilisha vigezo vya usajili wake je anaruhusiwa kucheza?
Na kama haruhusiwi mpaka akamilishe...
Kijana ambaye anauwezo wa kuongea kama mama Samia akionesha kipaji chake katoka moja ya kikao cha vijana kilichokutanishwa na rebby foundation mnamo aprili.
Huyu amejiita,'Bertrand Bisimwa',kiongozi wa M23,na makamu kiongozi wa AFC ambayo inaongozwa na Cornell Nanga,ambaye ni Political Coordinator na Sultan Makenga ambaye ndie kiomgozi mkuu wa Jeshi...
Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi.
Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa Mungu.
Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk.
Ni ingie kwenye point.
Uwepo wa mungu una dhihirika...
Wanakumbi.
MAMLAKA ZA ISRAEL WAVAMIA SHEREHE ZA KANISA HUKO YERUSALEMU
Matukio ya machafuko leo wakati wa sherehe za kila mwaka za Moto Mtakatifu.
Mamlaka iliwakamata maafisa wa usalama wa...
Habari.
Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite, Mshana Jr n.k. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo;
1. Ninafanya kazi...
Mwaka huu uwanja wa Benjamin Mkapa unatimiza miaka 17 toka kuzinduliwa kwake. Katika kipindi hicho chote uwanja umetumika kwa shughuli nyingi za soka, serikali na dini.
Moja ya eneo muhimu la...
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.