Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
16 Reactions
109 Replies
2K Views
Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi. Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye...
7 Reactions
86 Replies
2K Views
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi. Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua? Kufuatilia hali...
4 Reactions
130 Replies
5K Views
Wasalaam Wiki hii mwanzoni baada ya kutoka kwenye mizunguko ya kusaka tonge, niliongea na ndugu yangu mfanyabiashara nikaomba wakati anafunga hesabu nifike kujifunza mambo mawili matatu. Ilikuwa...
0 Reactions
2 Replies
11 Views
Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra...
7 Reactions
51 Replies
775 Views
Yaani sielewi Yani, hivi mnawezaje kuvumilia vishawishi vya nnje?? Yani nipo na mwanamke hapa nmelala nae lakini akili akili ipo Kwa kidada kimoja kizur cheupe chenye makalio mazuri nachokionaga...
8 Reactions
55 Replies
1K Views
Hakyanani sijui kama kuna nchi nyingine hapa duniani ina Vituko vya kila Kukicha kama ya Tanzania na Viongozi wake.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Naomba niweke mambo sawa ili tusiendelee kuumizana. Kutokana na kwamba baadhi ya watu wana uelewa finyu kuhusu misamiati ya mpinzani, mkosoaji, mwanaharakati na sisi waibua kero; kuna watu...
0 Reactions
2 Replies
50 Views
Muhimu: Elewa neno asilimia kubwa haimanishi ni wote, hata wazaramo wakimya wapo lakini asilimia kubwa ni waongeaji Introverts ni wachache sana lakini wana asilimia kubwa kwenye kufanikiwa...
3 Reactions
20 Replies
144 Views
Wakuu. Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika...
24 Reactions
155 Replies
10K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,902
Posts
49,558,820
Members
667,701
Latest member
zacharia erick
Back
Top Bottom