Maana ya Ndoa
Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa.
Aina za ndoa kwa mujibu wa...
Tanzania ni kati ya nchi za Duniani ambayo ina unafuu mkubwa wa maisha na fursa lukuki ukilinganisha na mataifa mengine, ni kutuliza tu akili yako kusaka ramani.
Wapo vijana ambao...
MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani.
Ati wao wataoa wanawake...
Ndugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu.
Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo...
Nipo kwenye mahusiano na mlimbwende mmoja (mchepuko); ambaye ameamua kuwa na mimi pale mama watoto anapokuwa mbali nami kijiografia.
Nimekuwa nampa shoo za ukweli mara kwa mara, na hii...
Moja kwa moja kwenye mada…
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
Muhimu: Elewa neno asilimia kubwa haimanishi ni wote, hata wazaramo wakimya wapo lakini asilimia kubwa ni waongeaji
Introverts ni watu ambao wanapenda kuwa peke yao muda mwingi, kijamii wapo...
Habari za muda huu wana jamvi
Naandika uzi huu nikiwa kwenye daladala nikirejea nyumbani kutoka kwenye "mihangaiko" ya Kila siku
Ndani ya daladala nmekaa karibu na wakina mama wawili...
Ni kampuni ya Payment & Digital Solutions. Tuna leseni ya BOT na payment system ambao inafanya kazi mwaka wa 3 sasa. We want to expand massively na tayari kuna makampuni makubwa ambayo tayari...
Bilionea William Mungai, Mfanyabiashara mwenye mafanikio kutoka Mafinga, amechukua fomu ya kugombea tena Uenyekiti wa Chadema Mkoa wa Iringa.
Ameomba tena Uongozi huo ili amalizie kazi yake ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.