Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

China ndio nchi inayoongoza kwa bidhaa nyingi na teknolojia nyingi ila cha kushangaza kuwa na vyote ila ni wapenzi wa bidhaa za wazungu kuliko zao mfano vifaa vya Apple,kompyuta za makampuni ya...
0 Reactions
4 Replies
49 Views
Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha...
59 Reactions
225 Replies
9K Views
HITILAFU KWENYE MFUMO WA GRIDI YA TAIFA Jumamosi, 04 Mei 2024 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirisha umeme ya...
1 Reactions
8 Replies
202 Views
29 April 2024 Nairobi, Kenya Mkutano huo ulioanza tarehe 29 April 2024 na kuhutubiwa na viongozi wa kiafrika wakiwemo rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda...
2 Reactions
10 Replies
533 Views
Sakata la Maofisa wa Serikali waliojitengenezea mfumo bandia wa Makusanyo ya Fedha za Umma limezidi kushika Kasi na kuchukua sura Mpya. Awali TAKUKURU iliwatia mbaroni watuhimiwa 40 lakini baada...
1 Reactions
16 Replies
546 Views
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu. Kuanzia...
14 Reactions
62 Replies
999 Views
Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo. Nikaona nimuowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani. Posho yake ni 70,000/= kwa mwezi. Awe anajitambua. Tuwasiliane inbox 📥
2 Reactions
12 Replies
108 Views
Hakika wenye AKILI KUBWA ndio maana tunasema bila KATIBA MPYA itakayounda UPYA Vyombo vyote vinavyosimamamia UCHAGUZI Nchini. VYAMA Kuendelea kushiriki CHAGUZI chini ya KATIBA hii inayompa...
3 Reactions
3 Replies
37 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,945
Posts
49,560,023
Members
667,715
Latest member
mwanae
Back
Top Bottom