Je, ulipo kuna umeme?
Umeme umekatika saa 8 na dk 39 usiku huu na watu wengi sana wanasema makwao hakuna umeme
Tusubirie walete zile ngonjera za hitilafu kwenye grid hili shida halina staha...
Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.
Nikaona nimuowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie...
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
Wakuu usiku wa leo umekua mrefu sana kwa upande wangu, kichwa kimewaka moto haswa, nikaona bora nije hapa kwenye familia yangu ya JF walau ni share hili linalonikumba kabla sijachukua maamuzi...
Nauza viti vya mbao ambayo unaweza kutumia bar,grocery au mgahawani...
viti vinapatikana shekilango nyuma ya ofisi za abood bus au shabiby
■ kiti cha watu 2 vipo vi3
■meza 3
■stuli 6
inamaanisha...
Hamna haja ya salamu, ujumbe tu unatosha.
Baada ya miaka 5 -10 watoto tunaowapeleka na kuwarudisha shule kwa mabasi ya njano watakuwa wanaongozwa na waliosoma shule za umma. Hii itakuwa ni kwenye...
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu.
Kuanzia...
Habari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝.
• Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.