Moja kwa moja kwenye mada…
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
Kwa barabara za mjini Dar, ujenzi wake ni kila mwaka, barabara hizi hujengwa kwa gharama kubwa, lakini kila mwaka zinatengeneza mashimo.
Ukiangalia zile barabara zilizojengwa na kampuni ya...
Taarifa iliyotolewa na Mabere Makubi kutoka Mwanza, inaeleza kwamba, Mtukufu Kagulumujuli ambaye ni Mkurugenzi wa Jiji hilo na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kutokea Wilaya ya Kinondoni, amefungua...
Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na...
Ipo haha ya kizingatia zaidi watu wenye nguvu kiuchumi kushika nafasi kubwa kubwa kwenye vyama serikali na Taasisi ambao kwa nafasi kubwa tunaweza kupunguza, Rushwa, wizi, na kuongeza mentality...
Wasalaam
Wiki hii mwanzoni baada ya kutoka kwenye mizunguko ya kusaka tonge, niliongea na ndugu yangu mfanyabiashara nikaomba wakati anafunga hesabu nifike kujifunza mambo mawili matatu.
Ilikuwa...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.