Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
ukata wa fedha, sera na mikakati mibovu isiyo na tija ya kuwaunganisha wanachama wao imekua ni chanzo cha kuzorota kwa hamasa katika harakati zao mitandaoni na mtaani. maandamano yamekosa mvuto...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Computer yangu aina hp desktop haiwaki imeanza juzi ilikuwa inawaka na kujizima hapo hapo jana nikaiwasha ikawa inaonekana elimewaka lakini hai display chochote kwenye monitor na pia feni ya...
0 Reactions
12 Replies
152 Views
Ajali hiyo inaonesha kutokea katika barabara kuu ambapo dereva akiwa na abiria wake walipata ajali na kupelekea pikipiki kuwaka moto, abiria akiwa pembeni huku wasamaria wema wakijaribu kumnasua...
12 Reactions
161 Replies
5K Views
Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani. Posho yake ni 70,000/= Awe anajitambua. Tuwasiliane inbox 📥
2 Reactions
3 Replies
25 Views
Ni vizuri kujiridhisha na kujihakikisha kwamba u-msafi vya kutosha maeneo yote ya ndani, ya mwili wako hususani unapokua faragha na mwenzi wao.. Mfano maeneo yenye mikunjo na yenye nywele, ya...
7 Reactions
26 Replies
468 Views
Yanga walipopata barua toka kwa FIFA, CAF na TFF Pacome akapata injury, TFF imeficha jina la mchezaji aliyechezeshwa na Yanga wakati usajili wake wa utata. Wameamua wasimchezeshe kabisa, sheria...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na...
13 Reactions
49 Replies
1K Views
Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra...
7 Reactions
54 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,938
Posts
49,559,842
Members
667,713
Latest member
shitwele
Back
Top Bottom