Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x.
Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze!
Mke anavutia sana napatwa...
First 11 ya Simba msimu wa 2024-2025 (Hizo xx ni wachezaji wapya wa maana wa kigeni):
Ayoub/Abeli
Israel
Zimbwe/xx
Kazi/xx
Che Malone
Sarr/Hamisi
Chasambi/Balua
Ngoma/Mzamiru
xx/Kanoute/Freddy...
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu
1.) Kila nchi ina Rais wake
2.) Kila nchi ina katiba yake
3.) Kila nchi...
Arusha imebarikiwa sana katika maliasili, mazingira na hali ya hewa. Bahati mbaya INA WATU WASHAMBA SANA.
Nimewaona hata hawa vijana wanaojiita wadudu nikajisemea tu kuwa hiki ni kielelezo...
Moja kwa moja kwenye mada…
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
Haiwezekani kama nchi maskini tuendelee kubembelezana kuijua vizuri hii lugha muhimu ya kibiashara duniani. Kama tunatakiwa kufanya export zaidi ya products na services zetu hatuwezi kukwepa...
Habari
Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi.
Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
Huyu mtu anaona akiongea kwa jazba, akitukana Rais au akisema hovyo ndio ataonekana wa maaana.
Sasa hv ongea yake ya hovyo lengo ni kuwaaminisha wenzake kuwa ana uwezo wa kuwa mwenyekiti wa chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.