Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
26 Reactions
306 Replies
5K Views
  • Suggestion
Miaka ya karibuni na hadi sasa Tanzania na dunia kwa ujumla imekua ikikumbwa na majanga mbalimbali yakiwemo mafuriko, matetemeko, milipuko ya magonjwa, moto, vimbuga na maporomoko ya udongo...
0 Reactions
2 Replies
44 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Yanga SC ( Mashabiki ) wanasema kuwa Kocha Juma Mgunda hata Wiki Simba SC tayari Nazi zimepanda Bei nchini.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wakati umefika Sasa wa Serikali Kufanya maamuzi magumu Kwa kushirikiana na DRC na kuanza Ujenzi wa Daraja litakalokatisha Kwenye Ziwa Tanganyika. Daraja Hilo kinaweza kujengwa kati ya Bandari ya...
14 Reactions
153 Replies
3K Views
  • Poll
Taarifa kamili kutoka ndani ya makao makuu ya chama zinasema kuwa chama hiko kwasasa hakiwezi kuwa pamoja either mmoja kati ya Mbowe au Lissu aondoke ndani ya chama hicho. Mzozo mkali umeibuka...
3 Reactions
44 Replies
953 Views
Wakuu,ingekua vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi. Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko..ni tahadhari gani umechukua?
0 Reactions
24 Replies
602 Views
Hii topic ni distraction. Mimi nilitaka kuandika kuhusu jambo lingine. Lakini 1964,kama TFL ilivunjwa ni kwa sababu iliunga mkono maasi ya Colito Barracks. Lakini ni kweli anavyosema Tundu Lissu...
0 Reactions
5 Replies
93 Views
  • Suggestion
kama nchi nyingine nyingi, Tanzania inakabiliwa na changamoto za kimfumo katika mfumo wake wa elimu. Kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi na teknolojia, kuna haja ya kuboresha mfumo wa elimu ili...
0 Reactions
2 Replies
43 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,700
Posts
49,553,319
Members
667,584
Latest member
Juma pindi
Back
Top Bottom