Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ajali hiyo inaonesha kutokea katika barabara kuu ambapo dereva akiwa na abiria wake walipata ajali na kupelekea pikipiki kuwaka moto, abiria akiwa pembeni huku wasamaria wema wakijaribu kumnasua...
10 Reactions
114 Replies
3K Views
Heshima kwenu wana jamii.... Hili swali huwa linanitatiza. Je nani ni single mother? Nini maana ya single mother? 1. Ni mwanamke aliyezaa nje ya ndoa na hajaolewa na hapati matunzo ya mwenza? 2...
3 Reactions
24 Replies
230 Views
Katika hali inayoonyesha kwamba vita nchini Ukraine bado vitaendelea kupiganwa na kwamba fikra ya taifa la Russia kwamba inaweza ikakalia tu ardhi ya Ukraine kwa raha inaonekana ni jambo ambalo...
7 Reactions
90 Replies
3K Views
Mzuka wanajamvi! Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain. Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
2 Reactions
16 Replies
175 Views
Jimbo linahitaji Kiongozi mwenye maono. Nawe Ni mtu sahihi
0 Reactions
4 Replies
88 Views
Lissu anaweza kuwa na mapungufu yake kwa sababu ni binadamu. Lakini kwa jinsi alivyoipigania Tanganyika tokea akiwa bungeni hata sasa akiwa nje ya Bunge, Historia haitamsahau. Watanganyika wa leo...
5 Reactions
15 Replies
224 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa sasa moto unawaka, CHADEMA inateketea, CHADEMA inawaka moto,inasambaratika,imepasuka vipande vipande, kila mtu ameshika nyundo kung'oa anachooona kinamfaa, kila mmoja...
1 Reactions
14 Replies
48 Views
Mm Kaz yangu Ni mwalimu ila hapa katka nimeamishwa shul nyingine mtaani x Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze Mke anavutia sna napatwa na wasi...
28 Reactions
128 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,799
Posts
49,555,334
Members
667,657
Latest member
Seb Jr
Back
Top Bottom