Leo nimekuja kutembea Morogoro, cha ajabu kuna mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini, wanakuwa kama wamelewa chakari. Kitaalamu hii inaitwaje?
JamiiCheck fanyeni utafiti mje na...
Nilipokuwa "mdogo", niliaminishwa kuwa wasomi si wanasiasa na hata wakiwa kwenye siasa husimamia misimamo yao ya kisomi.
Lakini baada ya kuanza kufuatilia mambo ya kisiasa, nilibaini kuwa si...
Hii topic ni distraction. Mimi nilitaka kuandika kuhusu jambo lingine.
Lakini 1964,kama TFL ilivunjwa ni kwa sababu iliunga mkono maasi ya Colito Barracks.
Lakini ni kweli anavyosema Tundu Lissu...
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo.
Je kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri...
Wachunguzi wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wameiambia kamati ya vikwazo ya Baraza la Usalama la umoja huo kuwa, mabaki ya kombora yaliyopatikana katika mji wa Kharkiv nchini Ukraine mnamo Januari 2...
Hakika Producer na Director wa Tamthilia ya HUBA asione AIBU kukatisha Matangazo yake DSTV Maisha Magic BONGO. Yanayoendelea hayaeleweki ili mradi kipindi kipo hewani. Hebu Fikiria Dakika 10...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.