Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Usije sema hukuambiwa. Kama kawaida huku ni nyama nyingi, ugali kidogo. 1. SECRETARY Baada ya kutoka hospitali ya magonjwa ya akili kwasababu ya tabia ya kujidhuru mwenyewe, sasa bibie Lee...
1 Reactions
17 Replies
460 Views
Wakuu. Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika...
21 Reactions
139 Replies
9K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Kituo Cha Utafiti wa Madini na miamba GST imeripoti kwamba kuanzia mwaka 2023 Hadi machi 2024, Jumla ya matukio 30 ya Matetemeko Makubwa ya Ardhi Nchi nzima. Mikoa 5 ndio imeripoti matukio ya...
1 Reactions
8 Replies
63 Views
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
16 Reactions
180 Replies
5K Views
  • Suggestion
Ziwa Victoria, ziwa kubwa zaidi la maji baridi barani Afrika na ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya , linatumika kama mshipa muhimu kwa Tanzania. Eneo lake kubwa la maji hutoa manufaa mengi...
0 Reactions
1 Replies
9 Views
Pafukapo moshi ujue kuna moto, Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti. Kikao...
4 Reactions
30 Replies
567 Views
Naishi Dodoma ila kwa sasa nipo Dar Ukonga KMKM ambapo nimejenga makazi yangu ya kupangisha. Kama mna kumbukumbu nzuri nilileta uzi humu majuzi nikiomba ushauri wa namna ya kudeal na mpangaji...
30 Reactions
173 Replies
10K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,726
Posts
49,553,874
Members
667,614
Latest member
Mabyura
Back
Top Bottom