Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Match Day. NBC Premier League. Simba vs Mtibwa Azam Complex 04.00 PM Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Simba itawakaribisha wageni wao timu ya Mtibwa katika mechi ya NBC premier league ikiwa...
1 Reactions
17 Replies
72 Views
Hivi vyombo vya usalama na wanaume wenye familia zenu mnakubali vipi kuongozwa na mwanamke?.. Kauza bandari, Uzanzibari hajui hata Nchi anazipeleka vipi Hali ya maisha inazidi kuwa Ngumu kila...
0 Reactions
4 Replies
40 Views
Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki. Huu ni mwaka wa kumi na tano ndani ya jamii forum......(si mchezo). Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana. Na wale tunaopishana...
5 Reactions
20 Replies
103 Views
Kama umenunua Gari lako South Africa, unatafuta Dereva mzoefu wakulileta popote ulipo kwanjia ya barabara niko hapo. Nchi tunazosafurisha Magari. 1. Kenya 2. Uganda 3. Rwanda 4. Burundi 5...
23 Reactions
185 Replies
10K Views
Maxence Melo naomba mwongozo. Mimi ni muhanga wa kufatwa pm na kuombwa kusapoti kupigia kura (wenyewe mnasema ku-vote) mada ya wadau wanaoshiriki shindano la story of change. Na kiukweli sina...
1 Reactions
9 Replies
10 Views
Ndugu zangu Watanzania, Huwa nashangaa sana ni vipi Lissu ni kiongozi ndani ya CHADEMA, ni vipi watu wenye akili timamu na wanaojitambua wanaweza kumpatia Lissu uongozi wa juu wa chama, nafasi...
3 Reactions
124 Replies
1K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeiamuru Benki ya CRDB kumlipa fidia ya Sh300 milioni Zawadi Bahenge kwa kutumia picha yenye sura yake kwenye matangazo ya kibiashara bila ridhaa yake. Pia...
15 Reactions
67 Replies
4K Views
Ipo haha ya kizingatia zaidi watu wenye nguvu kiuchumi kushika nafasi kubwa kubwa kwenye vyama serikali na Taasisi ambao kwa nafasi kubwa tunaweza kupunguza, Rushwa, wizi, na kuongeza mentality...
1 Reactions
8 Replies
60 Views
Inakuaje vyuo vyote Tanzania kasoro vyuo vi chache ma lecturers ku-lecture kwa kutumia lugha ya kiswahili through out the lecture period, ila akitunga mitihani ni kiingereza kigumu cha misamiati...
10 Reactions
59 Replies
541 Views
Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo. Je kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri...
0 Reactions
8 Replies
54 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,680
Posts
49,552,841
Members
667,574
Latest member
BabuKijiko
Back
Top Bottom