Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
8 Reactions
299 Replies
7K Views
Rais wetu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini, Salaàm! Nimefuatilia mienendo ya kukijenga chama cha CDM hapa nchini - iko wazi kuwa CDM wanatumia njia hiyo kama sehemu ya haki yao ya...
1 Reactions
15 Replies
282 Views
Hii topic ni distraction. Mimi nilitaka kuandika kuhusu jambo lingine. Lakini 1964,kama TFL ilivunjwa ni kwa sababu iliunga mkono maasi ya Colito Barracks. Lakini ni kweli anavyosema Tundu Lissu...
0 Reactions
10 Replies
155 Views
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike Baada ya Uchaguzi...
215 Reactions
11K Replies
3M Views
Huyu mtangazaji Sauda Mwilima Kama sijakosea jina Yuko wapi siku hizi?.Alikuwa anakipindi star tv,akiwahoji wasanii mbalimbali wa mziki.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
UTEUZI Jenerali Shlomi Binder ateuliwa kuwa Mkuu wa idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel Wadau hamjamboni nyote? Uteuzi wa Maofisa wakuu wa Jeshi la Israel Jeshi la Israel IDF limefanya uteuzi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu! Akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta...
20 Reactions
86 Replies
2K Views
Kituo Cha Utafiti wa Madini na miamba GST imeripoti kwamba kuanzia mwaka 2023 Hadi machi 2024, Jumla ya matukio 30 ya Matetemeko Makubwa ya Ardhi Nchi nzima. Mikoa 5 ndio imeripoti matukio ya...
0 Reactions
6 Replies
38 Views
Heshima kwenu wana jamii.... Hili swali huwa linanitatiza. Je nani ni single mother? Nini maana ya single mother? 1. Ni mwanamke aliyezaa nje ya ndoa na hajaolewa na hapati matunzo ya mwenza? 2...
2 Reactions
12 Replies
171 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,709
Posts
49,553,516
Members
667,582
Latest member
Juma pindi
Back
Top Bottom