Akiwa mkoani Iringa katika mkutano wa hadhara Lissu amesema hajui ilikuwaje CHADEMA ikamualika mama kwenye mkutano wa CHADEMA maana huwa hawaji wenyewe ni mpaka waalikwe.
Aidha Lissu...
Nchi yetu miaka michache ijayo tutaanza kupambana na Wachina. Inakuaje mchina anakuja nchini kufungua supermarket. Wachina wametapakaa kila kona ya hii nchi wanachukua fursa za Watanzania. Juzi...
Salaam, Shalom!!
Thread hapo juu imejengwa katika Katiba ya Wana wa Mungu iitwayo Neno la Mungu.(Biblia).
Kusema kuwa haupo urafiki kati ya Mwanaume na mwanamke haimaanishi kuwa Pana uadui...
Inakuaje vyuo vyote Tanzania kasoro vyuo vi chache ma lecturers ku-lecture kwa kutumia lugha ya kiswahili through out the lecture period, ila akitunga mitihani ni kiingereza kigumu cha misamiati...
Kazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui.
Nyerere alimwaga sumu sana kwa...
Habari wana Bodi.
Nimekuwa nikiwaza mara kadhaa kuu ya hizi takwimu za mtandao wangu pendwa mzee nisie na makuu.
Hivi ni sahihi kweli kwamba tuko watu laki sita na ushee tuu?
Post zilizotumwa...
Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.
CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .
Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.