Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wana JF, wasalaam. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu...
11 Reactions
65 Replies
1K Views
Aje Wanajukwaa Hivi inawezekana kweli hili jambo kwamba mume/mke akawa mlozi/mwanga/mchawi na mwenza asijue? Kama jibu ni ndio tunajua mara nyingi shughuli za wanga ni usiku Itawezekana vip...
2 Reactions
3 Replies
4 Views
Hahahaaaa taja faida kwa ñini unaishi single!
1 Reactions
65 Replies
496 Views
Habari zenu wakuu! Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nauza saloon yangu ya kiume(barbershop) iliyopo makongo stend (mageuzio). Nimepata uhamisho wa kikazi hivyo haina budi kuiuza kwani...
4 Reactions
15 Replies
179 Views
UWEPO WA KIMBUNGA “HIDAYA” KATIKA BAHARI YA HINDI MASHARIKI MWA PWANI YA MTWARA Dar es Salaam, 02 Mei 2024: Kufuatia taarifa iliyotolewa jana tarehe 01 Mei, 2024 na Mamlaka ya Hali ya Hewa...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na...
7 Reactions
139 Replies
3K Views
Ndugu. Naomba kumpata msambazaji wa wine toka Dodoma
0 Reactions
16 Replies
117 Views
Tuwekane sawa #Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu. #Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
5 Reactions
51 Replies
583 Views
Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwanini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili...
8 Reactions
67 Replies
761 Views
  • Suggestion
UZURI NA UBAYA WA MTI NI MWONEKANO WA MATAWI YAKE Serikali kuu inafinyangwa na serikali ndogo ndogo pamoja na sekta mbalimbali zilizopo nchini. Hivyo zikiweka taswira hasi kiutendaji basi zijuwe...
0 Reactions
1 Replies
35 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,560
Posts
49,549,973
Members
667,538
Latest member
manageble
Back
Top Bottom