Habari yenu wana JF nipo kwenye mahusiano mwanaume, ambaye hata sielewi anaumwa au ana tatizo gani, nimejitaidi kwa hali lakini bado hapati afadhali.
Yaani mkikutana faragha mashine yake...
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini.
Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani...
1. Kwamba kinachoendelea Marekani ni jitihada za Serikali ya huko kupinga haki ya watu kujieleza?!
2. Kutokuheshimiwa huku kwa wazi kwa misingi ya kawaida kabisa ya utawala wa sheria, ni wa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Katika moja ya tafiti zilizofanyika nchini Marekani, ilibainika kuwa mafanikio ya mtu kikazi yanategemea:
1. Ufanisi katika taaluma aliyo nayo asilimia 15
2. Ufundi wa kuzungumza asilimia...
Namshukuru mungu mwingi wa Rehema na muumbambaji wa vitu vyote vilivyopo duniani.
Mimi ninampango wa kuanza kufanya shughuli za kilimo ili nifanikiwe, sasa katika kufuatilia utaratibu nitumie...
Hakika hiki ni kichekesho! Katika siku muhimu kama Mei Mosi kwa wafanyakazi.wanaowazia hatima ya kazi zao, mishahara na mafao yao ya kustaafu, pension zao, kupandishwa vyeo na kila linalowasibu...
Akizungumza na wananchi wa Iringa, leo Mei 2, 2024, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais samia anatumia picha za viongozi waandamizi wa Chama chake akiwemo yeye kuweka mabango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.