Neno linalotumika kutafsiri neno la AI artificial intelligence Kwa Kiswahili sio sahihi kuita ajiri bandia ni kupoteza maana harisi ya Ai artificial intelligence
Neno kwenye maana Bora iitwe...
Try Again na Kamati ya Usajili ya Simba Hawapaswi Kuhusika kwa chochote Kwenye Mipango ya Timu kwa Msimu Ujao
Huyu try Again hakuna anachojua kwenye mpira, ni kiongozi aliyehusika kuleta...
Kuna watu ustaarabu sifuri mtu kakukuta unakula mgahawani akaja kukaa kwenye meza yako ukaona utumie ustaarabu kumwambia na yeye aagize chakula maana sio vizuri kula huko mtu anakutazama usoni ...
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini.
Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani...
Mafundi waliopelekwa nyumbani kufanya ukarabati au ujenzi wa nyumba wametumia mwanya huo kuchora ramani na kukariri vitu mbalimbali kwenye nyumba hiyo, pale waliposafiri na kumuacha housegirl...
Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu.
Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano...
Akizungumza na wananchi wa Iringa, leo Mei 2, 2024, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia anatumia picha za viongozi waandamizi wa Chama chake akiwemo yeye kuweka mabango...
CHRISTINA SHUSHO AMEMKOSEA MUMEWE, ATUBU
Kitendo cha Christina Shusho kusema kwamba aliozeshwa akiwa mdogo bila idhini yake ni kumdhalilisha huyo aliyekuwa mume wake kwamba alikuwa mkubwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.