Ni muhimu kusoma:
Siku za hivi karibuni, nimekua nikipokea simu za watu wengi kutoka Tanzania bara hususan mikoani.
Hii imetokea baada ya kupost makala moja inayoelezea kuhusu bei za bidhaa za...
Leo nimekuja kutembea Morogoro, cha ajabu kuna mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini, wanakuwa kama wamelewa chakari.
Kitaalamu hii inaitwaje?
JamiiCheck fanyeni utafiti mje na...
Mzuka wanajamvi
Hii ndio Familia tajiri kuliko zote duniani.
Ni familia Nahyan ya kifalme kutoka Falme za kiarabu UAE ambayo inahodhi biashara na siasa katika ghuba, duniani na ndio familia...
IMARISHA NA TUNZA AFYA YAKO, MWILI WAKO NDIO MTAJI WA KWANZA KATIKA HUU UWEKEZAJI WA MAISHA, NA AKILI NDIO CHOMBO CHA MIPANGO
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
www.camstore.co.tz
0762212623...
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
Namshukuru mungu mwingi wa Rehema na muumbambaji wa vitu vyote vilivyopo duniani.
Mimi ninampango wa kuanza kufanya shughuli za kilimo ili nifanikiwe, sasa katika kufuatilia utaratibu nitumie...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hili ni swali lenye lengo la kuhitimisha Mjadala wa kero za Muungano .
Tunataka kujua kama Micheweni, Kikwajuni, Chakechake au labda Kizimkazi kama ameonekana DC yeyote mwenye vinasaba vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.