Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nashangaa sana kusikia Kauli za baadhi ya Viongozi wa CCM wakisema Eti UCHAGUZI ujao utakuwa HURU na HAKI. Najiuliza huo HURU na HAKI ya UCHAGUZI utapatikana vipi wakati VYOMBO na WATENDAJI bado...
1 Reactions
1 Replies
72 Views
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
26 Reactions
280 Replies
10K Views
Wakuu habari zenu, naulizia wapi nitapata kiatu hiki na bei mwenye kujua tafadhali duka na location. Nb.Nipo Dar Es Salaam.
1 Reactions
17 Replies
452 Views
Just imagine au ni nguo za show hizi
0 Reactions
14 Replies
398 Views
Wakuu. Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika...
21 Reactions
135 Replies
9K Views
Rejea mada tajwa ...Mimi K-BEE shabiki nguli wa MNYAMA(Simba Sport Club) na JAMII ya MGUDA kwa ujumla kwa miaka mingi tumekuwa tunaishabikia Simba SC ila sasa tunajivua Ngozi ya simba na muda huo...
3 Reactions
18 Replies
441 Views
Wakuu, kwema. Kwa wale ambao wamewahi kununua gari, kwa kuagiza, kwa mtu au showroom, hivi rangi ya gari uwa unaiweka katika options zako za muhimu au? Kwa upande wangu, rangi ya gari nilikua...
1 Reactions
4 Replies
45 Views
Nchi yetu miaka michache ijayo tutaanza kupambana na Wachina. Inakuaje mchina anakuja nchini kufungua supermarket. Wachina wametapakaa kila kona ya hii nchi wanachukua fursa za Watanzania. Juzi...
4 Reactions
11 Replies
116 Views
VIONGOZI wengi Simba ni mam!uki watuachie timu yeti. Kuanzia Try again, mangungu,kajula, nap wote wamekuwa kuiangamiza Simba. Jamani tuwe makini na Hilo. Tusipostuka haraka tutaangamia
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Aje Wanajukwaa Hivi inawezekana kweli hili jambo kwamba mume/mke akawa mlozi/mwanga/mchawi na mwenza asijue? Kama jibu ni ndio tunajua mara nyingi shughuli za wanga ni usiku Itawezekana vip...
3 Reactions
21 Replies
59 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,569
Posts
49,550,213
Members
667,546
Latest member
Winnie Urio
Back
Top Bottom