Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Serikali yetu imeacha hawa wezi watusumbue. Naapa kuwashitaki. Kunakampuni nyingi kwenye mitandao inachukuq taariza maskini watanzania na kuwakopesha kwa nguvu huwadai pesa nyingi kama rejesho...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Habari yenu wana JF nipo kwenye mahusiano mwanaume, ambaye hata sielewi anaumwa au ana tatizo gani, nimejitaidi kwa hali lakini bado hapati afadhali. Yaani mkikutana faragha mashine yake...
5 Reactions
114 Replies
2K Views
Heshima kwenu! Kila mkoa una neema na changamoto yake. Nilifanikiwa kuwa moja ya mafundi katika ujenzi wa stend mpya Sumbawanga. Kazi ilikwenda vizuri lakini vijana wangu wa kiume wasaidizi...
3 Reactions
22 Replies
369 Views
  • Article
Nimekutana na hii mtandaoni kwamba Clownfish wana uwezo wa kujibadilisha jinsia kutokea dume na kuwa jike. Tusaidieni kuihakiki.
0 Reactions
4 Replies
82 Views
Hii maana yake ni nini Nimeshangaa Kama ni masters ninayo
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano. Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa...
0 Reactions
79 Replies
2K Views
Ndugu. Naomba kumpata msambazaji wa wine toka Dodoma
0 Reactions
2 Replies
10 Views
Kwa Sasa CCM siyo tena chama cha Siasa bali ni kundi kubwa la watu linalotumia Siasa kujitajirisha. Wakati wa enzi za Ali Hassan Mwinyi akiwa Mwenyekiti (1993-1994) wa chama hicho, mojawapo wa...
12 Reactions
44 Replies
1K Views
Salaam, Shalom!! Amesikika Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA Mh TUNDU Lissu akitajadharisha wanachama wa CHADEMA kuwa makini sababu tayari Kuna pesa zimeingia kuchafua chaguzi ndani ya chama. Amedai...
0 Reactions
6 Replies
7 Views
Akizungumza na wananchi wa Iringa, leo Mei 2, 2024, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia anatumia picha za viongozi waandamizi wa Chama chake akiwemo yeye kuweka mabango...
11 Reactions
28 Replies
983 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,535
Posts
49,549,375
Members
667,530
Latest member
Gerard lupin
Back
Top Bottom