Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Dr Hussein Mwinyi Daktari wa binadamu na Rais wa Zanzibari kuwa Rais wa JMT 2025 na mgombea mwenza wake Ni Dr Titus Mlengeya kamani huyu ni waziri mstaafu na Daktari wa Wanyamapori Tanzania
0 Reactions
5 Replies
45 Views
02 May 2024 Iringa, Tanzania Fedha nyingi badala ya kujenga demokrasia ndani ya chama dola kongwe CCM zimepenyezwa kujaribu kuvuruga chaguzi za ndani za CHADEMA. Viongozi ndani ya CCM ngazi za...
4 Reactions
20 Replies
955 Views
Oy jamani nimeona kitu cha ajabu usiku huu kuna msiba wa staa kafa hla sina uhakika nipo lindo hapa mochwari
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Christina Shusho aliibuka mbele ya jamii na kusema kuwa ''aliamua kuachana na mume wake na kuamua kumtumikia mungu'' na hiyo ilikuja baada ya kuona mashabiki wake wakimuuliza sana na kumsihii...
15 Reactions
47 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Huwa nashangaa sana ni vipi Lissu ni kiongozi ndani ya CHADEMA, ni vipi watu wenye akili timamu na wanaojitambua wanaweza kumpatia Lissu uongozi wa juu wa chama, nafasi...
1 Reactions
56 Replies
525 Views
Habari Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi. Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
4 Reactions
53 Replies
717 Views
Kama mteja, uliwahi kukumbana na aina gani ya ugumu pale ulipohitaji msaada kutoka kwa huduma kwa wateja?
1 Reactions
9 Replies
133 Views
Mimi siyo mrefu wala mfupi, lakini naweza nikawa mrefu kwa watu wengi wa Njombe! Kwa siku chache nilizokaa Njombe, nilibaini ukweli kuwa ukubwa wa mwili hauamui "ukubwa" wa mtu. Anaweza akawa na...
40 Reactions
162 Replies
6K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,850,621
Posts
49,551,594
Members
667,561
Latest member
Samson dana
Back
Top Bottom