Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
WAKATI baadhi ya watu wakiepuka kabisa mijadala kuhusu uchawi na kutilia shaka kuwepo kwake kwa sababu ya jamii zetu kupokea imani ya Kikristo, na imani ya Kiislamu, wengine tunaendelea kutafiti...
Najua itawawia vigumu kuamini hili lakini ndio ukweli. KUNA mstaafu MASHUHURI huenda akalamba TEUZI wakati wowote kuanzia sasa jiandaeni kumpa Maua yake.
Si unasema umepinda basi kuna mwana huko Ujerumani amenyongoroteka kabisaa
Baada ya miaka 12 ya mahusiano na mpenzi wake ...mwishowe mwanamke akaomba waachane akaenda mahakamani akidai apewe...
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
Salaam, Shalom!!
Thread hapo juu imejengwa katika Katiba ya Wana wa Mungu iitwayo Neno la Mungu.(Biblia).
Kusema kuwa haupo urafiki kati ya Mwanaume na mwanamke haimaanishi kuwa Pana uadui...
Namshukuru mungu mwingi wa Rehema na muumbambaji wa vitu vyote vilivyopo duniani.
Mimi ninampango wa kuanza kufanya shughuli za kilimo ili nifanikiwe, sasa katika kufuatilia utaratibu nitumie...
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.