Habari wadau!
Naomba kujua mchakato wa kupata kibali cha uhamisho kwa Mtumishi aliyepata Barua ya Ajira kwenda Taasisi au wizara Nyingine kupitia Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma...
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya...
Heshima kwenu!
Kila mkoa una neema na changamoto yake. Nilifanikiwa kuwa moja ya mafundi katika ujenzi wa stend mpya Sumbawanga.
Kazi ilikwenda vizuri lakini vijana wangu wa kiume wasaidizi...
JIMBO LA ITIGI LIMEOZA JAMANI:
ORODHA YA MIRADI AMBAYO ILITOLEWA FEDHA NA SERIKALI NA BADO HAIJAKAMILIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI MKOA WA SINGIDA.*
Huyu Mwenyekiti wa Halmashauri...
Hakika Producer na Director wa Tamthilia ya HUBA asione AIBU kukatisha Matangazo yake DSTV Maisha Magic BONGO. Yanayoendelea hayaeleweki ili mradi kipindi kipo hewani. Hebu Fikiria Dakika 10...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
utangurizi: Pamoja na uwepo wa jitihada za serikali katika kutoa elimu maalumu kwa watu wenye matatizo ya kusikia na kuzungumza, rakini bado kumekua na changamoto mbali mbali ambazo haswa zimekua...
"Nilizungumzia visiwa vya Zanzibar vinahitaji kulindwa, na sikuzungumzia nika-'identify' kwamba ni watu kutoka Tanzania Bara au Tanganyika waje na pasipoti [...] Mimi nilisema tunahitaji pasipoti...
Akizungumza na wananchi wa Iringa, leo Mei 2, 2024, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia anatumia picha za viongozi waandamizi wa Chama chake akiwemo yeye kuweka mabango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.