Rejea mada tajwa ...Mimi K-BEE shabiki nguli wa MNYAMA(Simba Sport Club) na JAMII ya MGUDA kwa ujumla kwa miaka mingi tumekuwa tunaishabikia Simba SC ila sasa tunajivua Ngozi ya simba na muda huo...
Mkazi wa wilaya ya Kilosa, Mohammed Salange amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada kukutwa na hatia ya kumfanyia ukatili mtoto wake wa kufikia wa kiume mwenye umri wa miaka 9. Makosa hayo...
Nashangaa sana kusikia Kauli za baadhi ya Viongozi wa CCM wakisema Eti UCHAGUZI ujao utakuwa HURU na HAKI. Najiuliza huo HURU na HAKI ya UCHAGUZI utapatikana vipi wakati VYOMBO na WATENDAJI bado...
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
Wakuu.
Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika...
Wakuu, kwema.
Kwa wale ambao wamewahi kununua gari, kwa kuagiza, kwa mtu au showroom, hivi rangi ya gari uwa unaiweka katika options zako za muhimu au?
Kwa upande wangu, rangi ya gari nilikua...
Nchi yetu miaka michache ijayo tutaanza kupambana na Wachina. Inakuaje mchina anakuja nchini kufungua supermarket. Wachina wametapakaa kila kona ya hii nchi wanachukua fursa za Watanzania. Juzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.